pmbet

Mkimbizi awabeba wazazi wake mabegani kwenye safari ya siku 7

Eric Buyanza

June 29, 2024
Share :

Mwaka 2017 kijana mmoja mkimbizi kutoka nchini Burma aliamua kukimbilia Bangladesh, kitu kikubwa kilichowagusa wengi ni kwamba wakati wa safari yake hakuwaacha wazazi wake wazee ambao hawakuweza kutembea. 

Kijana huyo aliwabeba wazazi wake kwenye vikapu maalum na kuvifunga mabegani kwenye safari yake ya kutembea kwa miguu iliyomchukua siku saba kufika nchini Bangladesh. 

Huu ni upendo wa hali ya juu kwa wazazi 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet