pmbet

Mkongwe Man City mahakamani kwa kujeruhi kwa makonde

Eric Buyanza

March 10, 2026
Share :

Mchezaji wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Uingereza, Joey Barton, ameshtakiwa kwa kosa la kujeruhi mtu na kumuumiza vibaya.
 

Mtu huyo alipigwa na kuumia usoni na mwilini, na sasa yupo hospitali akiendelea na matibabu.
 

Barton mwenye unmri wa miaka 43 na mwenzake Gary O'Grady wameshtakiwa kwa kosa la kujeruhi kwa makonde na walifikishwa mbele ya mahakama ya Wirral leo Machi 10.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet