Mkude awa mchezaji mwenye mataji mengi zaidi ligi kuu
Sisti Herman
May 15, 2024
Share :
Baada ya klabu ya Yanga kutawazwa kuwa Mabingwa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2023/24 kwa mara ya tatu mfululizo, kiungo wao Jonas Gerald Mkude amekuwa mchezaji mwenye mataji mengi zaidi akifikisha mataji 6 kwenye misimu 13 tangu aanze kuichezea Simba.
Mkude ametwaa mataji hayo kama ifuatavyo;
🏆 2011/12
🏆 2017/18
🏆 2018/19
🏆 2019/20
🏆 2020/21
🏆 2023/24
Itoshe kusema Mkude ni Nguli wa soka nchini.