pmbet

Mkuu wa majeshi mstaafu aliyepigana vita ya pili ya dunia afariki.

Joyce Shedrack

October 29, 2024
Share :

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Musuguri, amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 104, jijini Mwanza alipokuwa akipatiwa matibabu.

Jenerali Musuguri aliongoza majeshi ya Tanzania katika vita vya Kagera dhidi ya Idi Amin mwaka 1978, pia alishiriki Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Battle of Madagascar, na Battle of Simba Hills Kusini mwa Kenya.

 

Musuguri alilitumikia Jeshi la Tanzania kuanzia Mwaka 1942 hadi 1988 akihitimisha Uongozi wake kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kati ya 1980 na 1988.

pmbet

pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League

pmbet
pmbet