pmbet

Mkuu wa mkoa aagiza wanafunzi kukimbia mchakamchaka kila asubuhi

Eric Buyanza

March 20, 2024
Share :

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ameagiza shule zote mkoani humo kuweka utaratibu wa wanafunzi kukimbia mchakamchaka kila asubuhi ili kuwasaidia kuwa na afya, ukakamavu, uzalendo na kujiepusha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Senyamule, amezungumza hayo alipokuwa akizindua wiki ya aadau wa Elimu jijini Dodoma, ambapo amesema hakuna mwanafunzi anayeweza kufanya vizuri kwenye masomo yake kama hayuko sawa kiafya, na mazoezi ndiyo njia pekee ya kuimarisha afya. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet