Mlinzi wa Davido avaa saa yenye thamani ya Milioni 104.
Joyce Shedrack
May 18, 2026
Share :
Mlinzi 'Bodyguard' wa staa wa muziki wa Nigeria @davido Alionekana Akiwa Amevaa Saa Ya Thamani 'Rolex Submariner' Yenye thamani Ya Kiasi Cha Dola Za Marekani elfu 40,000 Sawa Na Fedha Za Kitanzania (Tsh. MILIONI 104.1/=).
Bodyguard Wa Davido "Rick" Pia Aliwahi Kuripotiwa Kutowahi Kutumia Mshahara Wake, Kwasababu Kila Ifikapo Mwisho Wa Mwezi Davido Humpatia Pesa Ya Ziada Ya Kukamilisha Mahitaji Yake.
Awali Bodyguard Wa Davido Alikuwa Akifanya Kazi Katika Jeshi La Uingereza Akitengeneza Kiasi Cha $47K (Tsh. Milioni 122.2/=) Kwa Mwaka, Lakini Tangu Aanze Kufanya Kazi Na Davido Anadaiwa Kuingiza Zaidi Ya $100K (Tsh Milioni 260/=) Kwa Mwaka Mzima.





