Mnyama ameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers kwenye uwanja wa Bingu Nchini Malawi.Bao la Simba limefungwa na Anicet Oura.