Mnyama atupwa Malawi Yanga yapangwa na wa Wabotswana.
Joyce Shedrack
August 6, 2026
Share :
Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika imetoka na vigogo wa Soka la Tanzania, timu za Simba na Yanga zimeshawajua wapinzani wao.
Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wamepangwa kucheza na timu ya Gaborone FC kutoka nchini Botswana huku watani zao Simba wakipangwa kucheza na Might Wanderes ya nchini Malawi.





