Mnyama avuna alama 3 dhidi ya Mbeya City.
Joyce Shedrack
June 17, 2026
Share :
Klabu ya Sima imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kwa bao la Elie Mpanzu katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara mchana wa leo.

Simba imepata ushindi wa bao 1-0 katika Uwanja wa Sokoine Mbeya na kufikisha pointi 64 kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwashusha Yanga.





