Mnyama awasili Misri kupindua meza
Sisti Herman
April 3, 2024
Share :
Klabu ya Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri kwaajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly itakayopigwa siku ya ijumaa.
Simba walipoteza mchezo wa kwanza nyumbani kwa 1-0 kwa Ahly, Je watapinduia meza?