Mnyama dhidi ya TRA United kinapigwa hapa leo usiku
Sisti Herman
March 22, 2026
Share :

Leo kwenye uwanja wa Mej. Gen. Isamhuyo itapigwa mechi kali ya Ligi kuu Tanzania kati ya Mnyama Simba SC dhidi ya wakusanya kodi TRA United FC.
Michezo miwili ya awali kati ya hizo timu msimu huu ililazimika kuahirishwa kutoka na na sababu mbalimbali kama hali ya hewa na ratiba kuingiliana na michezo ya Michuano ya kimataifa.
Mchezo wa leo utaanza saa 1 kamili usiku





