Mnyama kujipima nguvu na Timu ya Ligi Kuu Nchini Misri.
Joyce Shedrack
August 26, 2025
Share :
Klabu ya @simbasctanzania inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki siku ya leo saa 11:00 jioni dhidi ya Wadi Degla SC inayoshiriki Ligi Kuu ya hapa nchini Misri.