Mnyama Simba amewasili salama Nchini Malawi.
Joyce Shedrack
September 4, 2026
Share :
Kikosi cha Timu ya Simba kimewasili salama nchini Malawi kilipokwenda kwenye mechi yao ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Might Wanderes ya nchini humo.

Simba ilianza safari hiyo leo asubuhi na mchezo huo wa awali wa mashindano hayo utachezwa Jumapili nchini humo kabla ya baadae kupigwa mchezo wa marudiano ambao utapigwa nchini Tanzania.





