Mo Dewji aitisha kikao cha kusuka mipango ya msimu ujao siku ya leo.
Joyce Shedrack
July 1, 2025
Share :
Rais wa heshima wa klabu ya Simba na mwekezeji Mohamed Dewji amepanga kufanya kikao siku ya leo na Baraza la Washauri wa Klabu ya Simba majira ya saa tisa Alasiri.
Kikao hicho ambacho kinafanyika baada ya kumalizika kwa msimu wa 2024/25 ni kwa ajili ya Mo Dewji Kuzungumza na Baraza la Washauri ili kuweka mipango ya kwenda kuuanza msimu mpya wa 2024/2025.