pmbet

Mo Dewji kwenye 'Top 20' ya watu matajiri zaidi Afrika

Sisti Herman

February 18, 2026
Share :

 

Hii hapa orodha ya watu 15 matajiri zaidi barani Afrika kufikia Februari 2026, kulingana na takwimu za hivi punde za jarida la Forbes.

Kwenye orodha hiyo ni tajiri mmoja tu kutoka Afrika mashariki aliyepenya kati ya 15 walio juu.

1. Aliko Dangote, $23.9 B, Nigeria
2. Johann Rupert & family $14.0 B, South Africa
3. Nicky Oppenheimer & family, $10.4 B, South Africa
4. Nassef Sawiris, $9.6 B, Egypt
5. Mike Adenuga, $6.8 B, Nigeria
6. Abdulsamad Rabiu, $5.1 B, Nigeria
7. Naguib Sawiris, $5.0 B, Egypt
8. Koos Bekker, $3.4 B, South Africa
9. Mohamed Mansour, $3.4 B, Egypt
10. Patrice Motsepe, $3.0 B, South Africa
11. Issad Rebrab & family $3.0 B, Algeria
12. Mohammed Dewji, $2.2 B, Tanzania
13. Michiel Le Roux, $2.2 B, South Africa
14. Othman Benjelloun & family $1.6 B, Morocco
15. Anas Sefrioui & family, $1.6 B, Morocco

Orodha hii inaonyesha kuimarika kwa utajiri wa bilionea Aliko Dangote baada ya kuanza kufanya kazi kwa kiwanda chake kikubwa cha kusafisha mafuta nchini Nigeria.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet