pmbet

Moi kupeleka wataalam wa mifupa na ubongo Mkoa wa Mara.

Joyce Shedrack

February 16, 2026
Share :

Taasisi ya tiba ya mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kupeleka wataalam wa magonjwa ya mifupa na mfumo wa fahamu katika hospitali ya Rufaa ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Mara, Machi mwaka huu, kwa ajili ya kusogeza huduma kwa wananchi.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Mhe Balozi Dkt Mpoki Ulisubisya wakati akifungua mkutano wa 5 unaowaleta pamoja wataalam wa kitaifa, kimataifa na nchi jirani ambao wanaegemea utoaji matibabu ya Saratani ya ubongo, uti wa mgongo na mifumo ya fahamu na namna ya kutibu kwa kutumia njia za kisasa.
 

FULL INTERVIEW TAZAMA YOUTUBE CHANNEL YETU YA PM TV TANZANIA.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet