Klabu ya Yanga imetoa taarifa ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na mchezaji aliyekuwa wao raia wa Congo DR, Jesus Ducapel Moloko.