pmbet

Morocco waibana mbavu Brazil kombe la dunia

Sisti Herman

June 14, 2026
Share :

 

Mabingwa mara tano wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA, Brazil wameshindwa kutamba mbele ya Simba wa Atlas, Morocco kufuatia sare ya 1-1 katika dimba la MetLife New Jersey, Marekani katika mchezo wa Kundi C wa kombe la Dunia la FIFA 2026.

 

Brazil 1-1 Morocco

⚽ 32’ Vinicius Junior

⚽ 21’ Ismael Saibari

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet