pmbet

Morocco yakanusha taarifa za Walid Regragui kujiuzulu.

Joyce Shedrack

February 25, 2026
Share :

Shirikisho la Soka la Morocco limekanusha kwa mara nyingine taarifa zilizoibuka tena siku ya jana kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Walid Regragui amejiudhulu wadhifa wake kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la 2026.
Morocco head coach Walid Regragui hands in his resignation after AFCON  final defeat - Get French Football News
Kupitia taarifa waliyoitoa kwenye tovuti rasmi, shirikisho hilo imesema Regragui, ambaye aliiongoza Simba hao wa Milima ya Barafu hadi nusu fainali ya kihistoria ya kombe la Dunia mwaka 2022, bado yuko chini ya mkataba huku maandalizi ya kombe la Dunia ya 2026 yakiendelea.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet