Moshi mweupe Taifa Stars kutwaa Kombe la CHAN.
Joyce Shedrack
July 22, 2025
Share :
Timu ya Taifa @taifastars_ inaongoza goli 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Uganda kwenye mashindano ya CECAFA yanayoshirikisha Nchi 3 kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya CHAN.
Goli pekee la Taifa Stars limefungwa na Iddy Nado dakika 14 ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo.