pmbet

Moto wa Los Angeles wamuibua Rais wa Marekani Joe Biden.

Joyce Shedrack

January 10, 2025
Share :

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa Serikali ya Shirikisho itafadhili kikamilifu juhudi za awali za kukabiliana na moto mkubwa uliotokea Los Angeles kwa siku 180 zijazo.

Biden ameyasema hayo wakati akifanya mkutano na waandishi wa habari katika Ikulu ya Marekani na kuahidi msaada wa kina itakayojumuisha kuondoa vifusi, hifadhi za muda, na mishahara ya wahudumu wa dharura ili kusaidia jamii zilizoathirika.

Mpaka sasa zaidi ya watu 130,000 wamehamishwa, na watu kumi wamepoteza maisha kutokana na athari za moto huo na Madaraja ya usalama yamewekwa huku juhudi za kuzima moto zikiendelea na misaada ikiombwa kwa walioathirika .
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet