pmbet

Motsepe awasili Senegal kuzungumzia kizungumkuti cha Senegal

Sisti Herman

April 8, 2026
Share :

 

Rais wa CAF, Dkt Patrice Motsepe, amewasili Dakar, Senegal, Jumatano hii.

Alipokelewa na Rais wa shirikisho la mpira Senegal, Bwana Abdoulaye Fall, pamoja na viongozi wa mpira wa Senegal.

Motsepe yupo kwa ajili ya kuzungumza masuala ya mpira na yale ambayo yametokea kuhusu Senegal na Morocco.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet