Mourinho anamtaka Michael Olise, lakini hatampata
Eric Buyanza
May 26, 2026
Share :
José Mourinho alihudhuria kwenye fainali ya DFB-Pokal nchini Ujerumani wikiendi iliyoisha ambapo Bayern Munich walikuwa mabingwa.
Mourinho ambaye anatarajiwa kukabidhiwa kazi kukinoa kikosi cha Real Madrid alihudhuria fainali hizo akiwa na lengo moja kuu.
Anamtaka Michael Olise kwa gharama yoyote.
Hata hivyo Rais wa Bayern Munich amewahi kusikika akisema kuwa José Mourinho anamtaka Michael Olise, lakini hatampata.






