pmbet

Mourinho aonesha nia ya kurudi uwanjani, asema "Nitafanya kazi popote"

Eric Buyanza

March 25, 2024
Share :

Meneja wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho ameweka wazi kuwa atafanya kazi "popote" huku akionesha kutamani kurejea kwenye soka msimu huu wa joto.
 

Mourinho alitimuliwa na Roma mwezi Januari lakini sasa amethibitisha kuwa angependa kurejea kazini msimu huu wa joto, na amekataa kuondoa uwezekano wa yeye kuchukua kibarua kingine kwenye klabu za nyumbani kwao Ureno, baada ya kuondoka huko mwaka 2004 na kwenda kuinoa Chelsea kwa mara ya kwanza.
 

Tangu aanze kazi kama meneja akiwa Benfica, Mourinho hajawahi kukosa kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet