Mourinho atabiri moja ya timu hizi kuchukua Ubingwa wa Euro 2024
Eric Buyanza
June 7, 2024
Share :
Meneja wa Fenerbahce, Jose Mourinho amezitaja timu za mataifa manne ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa Ubingwa wa Ulaya 2024, michuano inayotarajiwa kuanza Ijumaa ijayo.
Kwa mujibu wa kocha huyo mtata raia wa Ureno, hizo ni Uingereza, Ureno, Ujerumani na Ufaransa.