pmbet

Mourinho atangaza silaha 23 za kuivaa Espanyol

Eric Buyanza

August 22, 2026
Share :

Kocha wa Real Madrid, José Mourinho, ametangaza kikosi chake kitakachokabiliana na Espanyol katika ligi ya LaLiga leo Jumamosi.

Mourinho ameamua kuwajumuisha wachezaji kama Yan Diomande, Vinicius Junior na Kylian Mbappé kuongoza safu yake ya ushambuliaji dhidi ya wenyeji hao kwenye Uwanja wa RCDE.

 

Kocha huyo raia wa Ureno amewachagua Jude Bellingham, Fede Valverde, Bernardo Silva na Arda Güler kucheza eneo la kiungo.

 

Real Madrid inaingia katika mchezo huu baada ya kuifunga Schalke katika mechi yao iliyopita, ambayo ilikuwa ya kirafiki ya maandalizi ya msimu.

 

Kikosi cha Real Madrid dhidi ya Espanyol:

MAKIPA: Courtois, Lunin na Sergio Mestre.

WALINZI: Huijsen, Trent, Konaté, Cucurella, Carreras, Rüdiger, Dumfries na Mario Rivas.

VIUNGO: Bellingham, Camavinga, Valverde, Arda Güler, Bernardo, Cestero na Alexis Ciria.

WASHAMBULIAJI: Vinicius, Mbappé, C. Espí, Brahim na Yan Diomande.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet