pmbet

Mourinho awazuia Velverde na Tchoumeni Madrid

Sisti Herman

July 9, 2026
Share :

 

Kocha wa Real Madrid JosΓ© Mourinho anataka wachezaji Valverde na TchouamΓ©ni wote π–π€ππ€πŠΞ™ kama π–π€π‚π‡π„π™π€π‰πˆ πŒπ”π‡πˆπŒπ” kwenye klabu hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Fabrizio Romano, TchouamΓ©ni ameshasaini mkataba mpya hadi mwaka 2031 na Valverde pia imetaarifiwa kuwa hatoondoka, kwani anachukuliwa kuwa mchezaji muhimu sana na JosΓ© Mourinho.

'The Special One' anataka masuala yote yatatuliwe na wachezaji muhimu wahusishwe katika mradi wake huko Real Madrid; uamuzi umeshafanyika kwa asilimia 100.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet