pmbet

Mourinho kuwa kocha wa Ronaldo Ureno

Sisti Herman

April 25, 2025
Share :

 

Kocha mkuu wa zamani wa klabu ya Real Madrid, Chelsea, Man United na sasa Fenerbahce ya Uturuki Jose Mourinho yupo mbioni kuiongoza timu ya Taifa ya Ureno kwenye kombe la dunia 2026 litakalofanyika nchini Marekani, Canada na Mexico.

Mourinho anatajwa kuchukua nafasi ya kocha Roberto Martinez ambaye alijiunga nayo baada ya kombe la dunia 2022 akitokea Ubelgiji.

Mourinho ataungana na mshambuliaji wake wa zamani wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa Ureno.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet