pmbet

"Mpanzu ameumia sana kuikosa Azam FC,Amesafiri kwenda Arusha"Magori.

Joyce Shedrack

April 7, 2026
Share :

Mwenyekiti wa Bodi wa Simba Crescentius Magori amefunguka kuhusu tetesi zilizoibuka juu ya nyota wao Elie Mpanzu kugoma kucheza mechi kisa mahitaji yake ya mkataba.

“Mpanzu mkataba wake wa sasa utaisha Septemba, kusema anagoma kwa mahitaji ya mkataba mpya ni jambo la ajabu sana.

"Kwanza katika wachezaji wana heshima ni Mpanzu na ameumia sana kuikosa mechi ya Azam. Hayo ni maneno ambayo hayana kichwa wala miguu.

"Alikuwa anaumwa lakini anaendelea vizuri na amesafiri na timu kwenda Arusha. Sina uhakika na mechi ya tarehe 9 kama atacheza lakini labda kuanzia tarehe 12.”- Mwenyekiti wa Bodi wa Simba Crescentius Magori.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet