pmbet

Mpanzu kuikosa Coastal Union kuiwahi Azam FC.

Joyce Shedrack

April 2, 2026
Share :

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Elie Mpanzu atakosekana kwenye mchezo wa leo usiku dhidi ya Coastal Union kutokana na kuugua.

 

Madaktari wa Simba SC wamempa mapumziko mafupi nyota huyo wa Congo DR na anatarajiwa kurejea kambini kuendelea na mazoezi ya kujiandaa na wa Azam FC, Jumapili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet