pmbet

Mparuka Hashim kumrithi Kassim Majaliwa Ruangwa.

Joyce Shedrack

July 2, 2025
Share :

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mfanyabiashara wa Ruangwa Mkoani Lindi Mparuka Hashim amechukua rasmi fomu katika Jimbo la Ruangwa ambalo tayari Mbunge wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema hatogombea tena.

Mparuka amechukua fomu leo na anarudisha fomu hiyo leo akisubiri mchakato wa kupitishwa na chama chake na baadaye kuchaguliwa na Wananchi wa jimbo hilo tayari kubeba mikoba ya Majaliwa anayemaliza muda wake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet