"Mpe mpiga picha namba yako ya simu, Nitakupigia" Osimhen amwambia shabiki
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Victor Osimhen alimuona shabiki uwanjani akipeperusha Bendera kubwa yenye picha yake.
Kutokana furaha aliyokuwa nayo baada ya kuona mapenzi makubwa kutoka kwa shabiki, Victor Osimhen akamwomba Cameraman amsaidie kupata namba ya simu ya shabiki huyo.
Victor Osimhen akimwambia shabiki:
“Mpe Cameraman namba yako ya simu sawa! Nitakupigia."
Shabiki anaimba tu:
Victor! Victor!.....osimhen osimhen!!!