Mpenzi wa Isha Mashauzi awajibu wanaosema anatoka na 'Mshangazi'
Sisti Herman
June 2, 2024
Share :
Msanii wa nyimbo za Taarab Isha Mashauzi akijibu kuhusu maoni ya watu wanaohoji kuwa amemuacha kwa tofauti kubwa sana kiumri mpenzi wake 'Mabango' kiasi cha kuitwan 'Mshangazi' .
Pia 'Mabango' akijibu kuhusu maoni ya watu wanaohoji kuwa Isha Mashauzi ni 'Mshangazi' yaani wameachana umri mkubwa.
Kusikiliza majibu yao gusa video hapa chini