Mr Beast achangia ujenzi wa shule nchini Kenya
Sisti Herman
February 26, 2026
Share :

YouTuber na mfadhili kutoka nchini Marekani, MrBeast, amejenga madarasa saba mapya na kutoa madawati kwa wanafunzi wa Nyakichiwa Primary School iliyopo Bomet County huko Kenya, baada ya kubaini kuwa awali walikuwa wakisomea kwenye majengo chakavu na hatarishi.





