pmbet

Mr.Blue ashinda tuzo yake ya kwanza tangu kuanza muziki.

Joyce Shedrack

July 30, 2025
Share :

Siku zote kwenye mafanikio hakujawahi kuwahi sana wala kuchelewa ni swala la muda tu, Staa wa Hip hop @mrbluebyser1988 ameandika historia kwa kushinda tuzo yake ya kwanza takriban miaka 22 iliyopita.
Mr Blue All Songs - DJ Mwanga
Anaandika Mr Blue kwenye ukuraa wake wa Instagram
“Maajabu ya mungu jamani !!
Hili ni ajabu la nane la dunia !!
Nimeshinda tuzo na mimi
Hii inakuwa tuzo yangu ya kwanza kabisa kwenye muziki kwa miaka 22 ya kwenye muziki baada ya kutunikiwa heshima na #therealjongwe ile ya heshima. Ahsante sana mungu na mashabiki zangu kote !!!!at least nina kitu cha kuhadithia wajukuu zangu !!!”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet