pmbet

Mrithi wa Lomalisa Yanga huyu hapa

Sisti Herman

May 22, 2024
Share :

Taarifa kutoka vyanzo tofauti, ndani ya klabu ya Yanga na kutoka nchini Congo DR zieleza kuwa klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto wa klabu ya St Eloi Lupopo ya ligi kuu ya DR Congo Chadrack Issaka Boka kwaajili ya kurithi nafasi ya Mkongomani mwenzake Joyce Lomalisa Mutambala ambaye anatajwa kuondoka Jangwani.

Boka mwenye umri wa miaka 23 alijiunga na Lupopo mwaka 2021 ana wezekano mkubwa wa kuwatumikia wananchi kuanzia msimu ujao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet