Mrundi wa Simba Queens ajiunga na Fountain
Sisti Herman
January 16, 2024
Share :
Mabingwa mara tatu wa ligi kuu wanawake Tanzania Simba Queens wamethibitisha kuwa kiungo wao mshambuliaji raia wa Burundi Marium Joele Bukuru amejiunga na klabu tajiri zaidi kwenye soka la wanawake Fountain Gate Princess ya Dodoma kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu.