Msanii aliyeshirikishwa na Tundaman kwenye "Basi Imba" afariki dunia
Sisti Herman
February 16, 2024
Share :
Msanii Richard aliyetamba kwenye wimbo wa ‘Basi Imba’aliyeshirikishwa na msanii Tundaman amefariki Dunia hii leo, Taarifa za kifo chake zimetolewa na Msanii Tundaman ambaye ni ndugu wa Msanii huyo.
Wimbo wa “Basi Imba” ulitoka kwa zaidi ya Miaka 12 iliyopita.