pmbet

Msanii wa nyimbo za injili Irene Robert afariki dunia.

Joyce Shedrack

March 20, 2026
Share :

Tasnia ya muziki wa injili imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha muimbaji wa nyimbo za injili, Irene Robert, ambaye amefariki dunia leo ijumaa baada ya kuugua ghafla.

 

Taarifa hizo zimethibitishwa na msanii wa mwenzake wa muziki wa injili Walte Chilambo ambaye alikuwa rafiki yake na alishiriki pia kumuandikia wimbo wake wa mwisho wa 'Neno moja' alioutoa mwishoni mwa mwaka jana.

Irene Robert alijulikana kwa nyimbo kama Sitalia alioshirikiana na Christina Shusho Neno Moja, Soja N.k Lakini Pia aliwahi kushinda tuzo ya AFRIMMA Awards kama Best Female Artiste in African Inspiration Music. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet