pmbet

Msigwa ahamia CCM kutokea CHADEMA, apokelewa na Rais Samia

Sisti Herman

June 30, 2024
Share :

Mwenyekiti wa zamani wa Kanda ya Nyasa wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ametangazwa rasmi kuhamia CCM leo Jumapili June 30,2024.

Msigwa ametangazwa kuhamia CCM kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana Jijini Dar es salaam leo chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet