pmbet

Msimu ujao utachagua kukatwa pointi 5 au kutumia jumba la maajabu.

Joyce Shedrack

July 30, 2026
Share :

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema wamerekebisha kanuni ya kuipoka timu pointi tano ikiwa itagundulika imetumia vyumba vya kubadilishia nguo bila sababu za msingi.

Akizungumza na waandishi wa habari Leo July 30, Karia ameeleza kuwa Shirikisho limetumia gharama kununua vifaa vya kupima vyumba kama vitakuwa na shida yoyote kama havina shida na hujatumia vyumba utakatwa pointi 5.

Aidha Karia amesisitiza kwamba kama timu haina pointi itaanza na hasi (-5) kwenye msimamo wa ligi kuu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet