Msuva awasha moto Saudia
Sisti Herman
February 29, 2024
Share :
Mshambuliaji wa kimataifa ya Tanzania ambaye anacheza ligi daraja kwanza Saudia, Simon Msuva jana amefunga goli lake la kwanza kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa na klabu ya Al-Najma SC kwenye mchezo wa ligi wakishinda 3-1 dhidi ya Al-Jandal na kuisaidia timu yake kubeba alama 3 muhimu.