pmbet

Mtajiri wa Chamazi wanakazi ya kufanya Lake Tanganyika.

Joyce Shedrack

April 17, 2026
Share :

Mtajiri wa Chamazi Azam FC wamepangwa kucheza dhidi ya Mashujaa kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwenye uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma.
Mashujaa FC 0-0 Azam FC
Mshindi wa mchezo huo atafuzu nusu fainali kucheza na mshindi wa mchezo wa JKT Tanzania vs Yanga.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet