pmbet

Mtanzania wa kwanza kupata medali ya dhahabu akiibuka bingwa wa Dunia.

Joyce Shedrack

September 15, 2025
Share :

Mwanariadha Alphonce Felix Simbu ashinda mbio za riadha za dunia ambazo zinafanyika jijini Tokyo, nchini Japani na kumshinda mpinzani wake kwa tofauti ya sekunde 0.03 ambaye ni mwanariadha kutoka Ujerumani Amanol Petros.

Alphone Simbu ameshinda mbio za dunia kwa kukimbia kwa saa 2:09:48 na kufanikiwa kupata medali ya kwanza ya dhahabu kwa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Tokyo 2025 .

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet