pmbet

Mtoto wa Kanye na Kim aingia kwenye Chat za Billboard

Sisti Herman

February 22, 2024
Share :

Mtoto wa rapa Kanye West, North West amefanikiwa kuingia kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 100, kufuatiwa na ngoma aliyoshirikishwa na Baba yake ya Talking na kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia katika chati hizo.

Wimbo wa ‘Talking’ mpaka kufikia sasa unazaidi ya watazamaji milioni 14 kupitia mtandao wa YouTube, huku kwa upande wa Billboard ngoma hiyo ikishika nafasi ya 30 katika chati hizo.

Kanye alifanikiwa kupata mtoto huyo na aliyekuwa mpenzi wake mfanyabiashara Kim Kardashian ambapo mpaka kufikia sasa Binti huyo ana umri wa miaka 10.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet