pmbet

Mtoto wa Rais aenda jela miaka 6, akihusishwa na madawa ya kulevya

Eric Buyanza

March 28, 2024
Share :

Malam Bacai Sanha Jr, mtoto wa Rais wa zamani wa Guinea Bissau, amehukumiwa kwenda jela miaka 6 nchini Marekani akihusishwa na biashara ya dawa za kulevya aina ya Hheroin.

Malam Bacai anahusishwa na biashara ya dawa za kulevya aina ya heroin.

Inaelezwa kuwa Malam mwenye umri wa miaka 52, alikuwa analenga kutumia pesa za biashara hiyo kufanikisha mapinduzi nchini Guinea Bissau ili kunyakua madaraka ya urais.

Alikamatwa mwezi Julai mwaka 2022 baada ya kuwasili jijini Dar Es Salaam, Tanzania kabla ya kuhamishishwa nchini Marekani kujibu mashtaka dhidi yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet