pmbet

Mudathir Yahya ni mali ya wananchi hadi mwaka 2027.

Joyce Shedrack

July 22, 2025
Share :

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania Mudathir Yahya Abasi Amesaini Mkataba wa Miaka Miwili hadi 2027 kuendelea kukupiga ndani ya Kikosi cha Wananchi Young Africans.

Hata Hivyo Hapo Awali kulikuwa na Mvutano wa Kimaslahi kwa Pande zote mbili Huku Upande wa Mchezaji ukiamini Unahitaji zaidi Kupata kikubwa kutokana na Mchezaji wao kuwa sehemu  tegemeo katika Kikosi hicho cha Kwanza.

 

Hii inakuwa Nikwa Mara ya Kwanza Kiungo Huyo kusaini Mkataba wa Miaka miwili hapo Awali alikuwa akisaini Mkataba wa Mwaka Mmoja mmoja kila ifikapo Dirisha Kubwa la Usajili Na Mudathir anakuwa Mchezaji wa kwanza kuanza kutambulisha kuongeza mkataba ndani ya Msimu huu

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet