pmbet

Muhimbili kutuhifadhia mbegu zetu za uzazi

Eric Buyanza

December 13, 2023
Share :

Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza kuwatunzia mayai ya uzazi wale wasiohitaji kupata watoto kwa wakati fulani, ambapo yatatunzwa mpaka pale utakapokuwa tayari  una uhitaji wa mtoto, hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Mohamed Janabi.


“Muhimbili tunafanya, kama ukihitaji kuhifadhi mayai yako hutaki mtoto kwa sasa hadi hapo baadae tunakuhifadhia mayai yako hadi hapo baadae utakapokuwa tayari tutalikutanisha na kupata mtoto.”amesema Profesa Janabi.


Pia ameongeza kuwa kuanzia Januari 2024, watafunguwa jengo la IVF ambapo watu hawatohitajika kwenda Uturuki kupandikiza ujauzito.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet