pmbet

Muhoozi sasa ataitwa Museveni

Sisti Herman

September 21, 2026
Share :

 

Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuongeza jina la Baba yake, Museveni, kwenye Majina yake.

Kupitia akaunti yake ya X Jumapili, Septemba 20, 2026, Jenerali Muhoozi alisema kuanzia sasa atajulikana kama Muhoozi Kainerugaba Museveni, kwa kifupi MKM.

Muhoozi ni Mtoto wa kwanza wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na Mama Janet Museveni.

Tangazo hilo linakuja wakati ambapo Muhoozi ametangaza nia ya kugombea Urais wa Uganda katika Uchaguzi wa mwaka 2031.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet