pmbet

Muigizaji maarufu wa Korea Park Min Jae afariki dunia.

Joyce Shedrack

December 3, 2024
Share :

Tasnia ya uigizaji Ulimwenguni inaomboleza kifo cha ghafla cha Muigizaji Mahiri kutokea Nchini Korea Park Min Jae akiwa na umri wa miaka 32, kwa matatizo ya moyo na amefariki akipatiwa matibabu China.

Kwa mujibu wa taarifa ya kifo chake kimesababishwa na Cardiac Arrest (CA) Kukoma kwa kazi ya moyo ya kusukuma damu kwenda kwenye Ubongo na sehemu zingine za mwili inayopelekea mtu kuzimia na kupoteza fahamu.

Park Min Jae ameacha alama katika tasnia ya Uigizaji Nchini Korea Kusini Kwa kufanya kazi kwa uweledi na mara zote kufanya vizuri akifanya kazi na mastaa kama Kim Go Eun kwenye "Little Women" Lee Soo Hyuk kwenye "Tomorrow" na nyinginezo nyingi.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet